featured Slider

Kutembea umbali mrefu kutafuta kwa watoto bado nichangamoto nchini.

Urithi wa Ulimwengu katika mikono michanga,sasa umeanza mkoani Morogoro kupitia taasisi ya Regional Tourism and Cultural Network Association.

Tendo la kikatili alilo fanyiwa mtoto mwenye umri wa miaka 11 ambalo halivumiliki myoyoni mwa wanajamii

Takwimu ya wizara ya afya kuhusu vitendo vya ukatili dhidi ya watoto nchini,kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia inayo adhimishwa November 25 ya kila mwaka.

Mtoto alie bakwa noveber 9 mwaka huu aiomba serikali kumrinda kutokana na mke wa mtuhumiwa wa Ubakaji kutoa maneno ya vitisho kwa mtoto huyo,Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita.

Shirika lisilo la kiserika la The Same Qualities Foundation limerejesha furaha kwa zaidi ya Watoto 500 wenye ulemavu wa Midomo Sungura kwa kuwafanyia upasuaji midomo yao hapa nchini bure,kwamjibu wa taarifa ilio tolewa leo na mkurungenzi wa shirika hilo Dr.Peter Mabula jijini Arusha.