Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TOKOMEZA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI.

  Kila mmoja anao wajibu wa kumlinda mtoto wakike ili ahitimu masomo yake na kuzitimiza ndoto zake , Wizara ya Afya Maendeleo ya jamii njinsia wazee na watoto nchini Tanzania inawakumbusha watanzani kupitia vidio fupi yenye ujumbe unaosema, Tokomeza mimba na Ndoa za utotoni kwa manufaa ya mtoto wakikeke.

Post a Comment

0 Comments