Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

              UNICEF YATOA  TAKWIMU YA ELIMU KWA WATOTO 
                                  NCHINI TANZANIA 2015-2017.

 Shirika la kuhudumia watoto duniani UNICEF limetoa takwimu ya watoto wasiopata elimu kilamwaka nakuto hitimu ngazi ya secondary [kidato cha nne] ni asilimia 30 ndio hufanikiwa kumaliza ngazi ya secondary ambapo asilimia 70 hawafanikiwi kufika ngazi hiyo ya elimu .
   Jambohili husababishwa na mambo mengi ikiwemo unyanyasaji, Umbali shule ilipo nk. wa kijinsia dhidi ya watoto hao hasa walio wengi ni jinsia ya wanawake na upande wa wanaumme ni kwa asilimia ndongo sana hayo yamesemwa na afisa habari wa UNICEF TANZANIA BI, USIA LEDAMA.

Post a Comment

0 Comments