Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

VIJANA 3 KATI YA 10 HAWAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA NCHINI ZAMBIA

  Utafiti uliofanywa na shirika la kuhudumia watoto duniani nchini ZAMBIA UNICEF  unaonyesha kua vijana watatu kati ya kumi wenye umli wa miaka 15-24 hawajui kusoma wala kuandika , Milioni hamsini na tisa yawakazi kwenye  nchini zilizo athirika na migogoro ya vita,na maafa mbalimbali ndizo zilizo kumbwa na tatizohilo kwa asilimia kubwa.Idadi hiyo nimara tatu ya kiwango cha kimataifa UNICEF ZAMBIA imeandika jana kwenye ukurasa wake wa Tweeter.

Post a Comment

0 Comments