Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

WALIMU WASHAULIWA KUANZISHA MAKTABA ZA SHULENI ZENYE VITABU VINGI VYA HADITHI ILIKUCHOCHEA MAENDELEO YA ELIMU KWA WANAFUNZI.


  Kubadilisha madarasa katika mazingira ya kujifunzia huchochea maendeleo ya usomaji kwa mwanafunzi, Walimu wanatakiwa kufundishwa katika kuzalisha vifaa vya kujifunzia na kuanzisha maktaba zenye vitabu vingi vya hadithi kwenye shule zao jambolitakalo ongeza kasi ya elimu kwa watoto. Hii imefanywa Mbeya,Njombe na Songwe kwamsaada wa mladi wa KITABU KITABU CHA WATOTO na CHUO CHA WALIMU CHA KOROGWE  kilichopo mkoani Tanga UNICEF TANZANIA imesema.

Post a Comment

0 Comments