Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Baada ya machafuko jimbo la Kasai nchini drc watoto watoka kambi za Unicef walejea shuleni.Tendo kwa ajili ya darasa, Baada ya miezi ya unyanyasaji katika jimbo la Kasai nchini DRC,   ambapo kwasasa watoto wanaweza kuendelea na elimu zao kutokana na utulivu wa machafuko nchini humo shukrani kwa shule za muda zilizowekwa katika hema za UNICEF.

Post a Comment

0 Comments