Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Dr. Tedros Adhanom kutoka WHO aliandika kwenye ukulasa wake akisema juu who.  Mwenyekiti wa who barani afrika Dr.  Tedros Adhanom aliandika kwenye ukulasa wake akisema,  Leo wakati  wafanyakazi wote wanakutana na timu yetu ya mabadiliko pamoja na matokeo ya uchunguzi wetu wa utamaduni. Tuna kazi nyingi za kufanya, lakini tuna mali nzuri ya mabadiliko, watu wenye vipaji, wenye shauku. Ninajivunia kuwa mshiriki wa WHO, kufanya kazi kila siku.

Post a Comment

0 Comments