Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

ELIMU NDIO KICHOCHEO CHA KWANZA KWA WATOTO KWA MAANA WATAITAMBUA JANA YAO NA KUISAMEHE,WATATATHMINI LEOYAO NA KUING"AMUA KESHO YAO.


 Mkurugenzi wa Hananasif Orphanage Center Trust Fund(HOCET) Nd.HEZEKIA S.MWALUGAJA Ameiomba jamii, Mashirika,Walezi na Wadau wengine wa Elimu kuwatazama Watoto yatima na Wanao ishikwenye mazingira hatarishi kuwa ni lulu iliosahaulika bila msaada wowote.
  Hata hivyo  amesema kuwa tunawaandaa Watoto wetu kuona kuitwa Yatima siokitu cha ajabu isipokua waweze kuubadilisha uyatima wao katika ufahamu chanya nawakawa niwatu wakujitolea zaidi kwenye jamii yao.
  Aidha Mwalugaja amebainisha kuwa Wao wanatoa huduma ya Elimu kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita kwamahitaji yote kwakila mwana funzi, hatimae chuo kikuu, HOCET ni shule ilio na vitengo vingi vya kuwa fundisha Watoto ilikuwajengea msingi wakujitegemea waowenyewe kwa kutumia maarifa walio pewa na MUNGU na wanayo pata kutoka HOCET baada ya kuhitimu masomo yao.
   Mwalugaja ameongeza kuwa wanawafundisha Kushona Viatu wakishirikiana na walimu wa SIDO ,Kulima bustani, Kusindika Vyakula, na walio na vipaji vya kuimba kuwasapoti kurekodi nyimbo zao hiyo yote kwaajili ya utukufu wa MUNGU.

Post a Comment

0 Comments