Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Hakielimu yatoa riport ya tathimini ya wanafunzi wenye tatizo la kuto ona vizuli.

HAKIELIMU  imezindua ripoti ya tathimini ya Mafunzo na Ushirikishwaji wa Wanafunzi wenye changamoto za uoni katika Shule Jumuishi nchini Tanzania ambayo imebainisha changamoto mbalimbali zinazowakabili wanafunzi hao wenye changamoto ya uoni pamoja na kutoa mapendekezo kwa Serikali, Shule Jumuishi, Wazazi na Walezi juu ya nini kifanyike.

Post a Comment

0 Comments