Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

HATUA ZAIDI ZINAHITAJIKA ILI KUBORESHA USALAMA NA UPATIKANAJI WA KIBINADAMU NCHINI MYANMAR IKIWA WATOTO WA ROHINGYA WANARUDI SALAMA - UNICEF Usalama wa Myanmar bado hali si shwali nivema kuboresha kwanza kabla   ya watoto wa Rohingya kurudi kutoka Bangladesh, Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF Justin Forsyth alisema.

 Hatahivyo Asilimia 58 ya wakimbizi kutoka mynmar ni watoto , ambao wengi wao bado wanasumbuliwa na uzoefu wao wa vurugu, akizungumza kutoka kambi ya wakimbizi ya Kutapalong kusini mwa Bangladesh.
 Forsyth alisema "Ni muhimu kwamba haki zao na mahitaji yao kwa ajili ya ulinzi na msaada ni mbele na katikati ya makubaliano yoyote ya kurudi kwenye familia zao nchini Myanmar,safari ya  Kurudi kwa wakimbizi Myanmar nilazima iwe kwa hiari, yenye usalama na yenye heshima. "

Post a Comment

0 Comments