Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Kama kilamtu akimsaidia mwenzake chakula ijapo mtu mmoja dunia itapona njaa wfp tanzania imesema.   Shirika la mpango wa chakula duniani (WFP) Tanzania limesema ijapo tatizo la njaa liko katika maeneo mbalimbali Tanzania na nje ya nchi inabidi kila mmoja achukue hatua ya kusaidia chakula kwa walio wahitajizaidi ilikuokoa uhai wao.
  "Ikiwa huwezi kulisha watu mia moja, basilisha mtu moja tu kwakufanya hivyo utakua umeokoa maisha."  Mama Teresa amesema kua Kama kila mmoja wetu angepaswa kufuata ushauri huu, basi tunaweza kulisha dunia.

Post a Comment

0 Comments