Leticia Bolgatanga kutoka nchini Ghana ameiambia UNICEF Ghana , anatamani kutimiza ndoto zake kwanza kabla ya kuolewa.


"Kwa wasichana wengi wadogo ambao wanalazimishwa kuolewa, upendo haujalishi. Msichana anahitaji kufanya hivyo kwa sababu familia yake haina pesa, hivyo hutoa dhabihu kwa cent chache kwenye familia yake.Hali hii humsababisha "Leticia Bolgatanga kutoka nchini Ghana kuwa na huzuni wakati anapofikiri juu ya maisha yake.

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK