Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Mh.Waziri Ummy mwalimu amewataka wazazi na walezi kuwapeleka watoto wakike kwenye vituo vya afya kwaajili ya kupewa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi.


Waziri Wa Afya Maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto nchini Tanzania Mh. Ummy Mwalimu amewata wazazi na walezi kuona umuhimu kwa watoto wao kuwapeleka kwenye vituo vya afya kwaajili ya kupata chanjo ya Saratani ya Mlango wa kizazi.
  Mkutano Wadau wa Chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi (HPV Vaccine). Serikali itaanza kutoa Chanjo hii kwa Wasichana wote wa miaka 9 – 14,Chanjo hii itatolewa bila Malipo katika Vituo vyote vinavyotoa Huduma za Afya - vya Serikali, Binafsi ,na Mashirika ya Dini Kinga ni Bora kuliko Tiba.

Post a Comment

0 Comments