Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

ndoto ya mery nikuwa dkt. bingwa je atafikia malengo yake.

  NDOTO YANGU: Mary Julias binti mwenye miaka 15 ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari ya Nyansicha iliyopo Wilaya ya Tarime mkoa wa Mara. Mary anaona changamoto iliyopo katika jamii yake ni mabinti kutojiamini na kutojikubali jinsi walivyo. Ndoto ya Mary ni kuwa daktari bingwa wa upasuaji. Tanzaniakidstime inamtakia kila la kheri Mary katika kufikia ndoto zake.

Post a Comment

0 Comments