Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Shirika la kuhudumia watoto duniani UNICEF TANZANIA linawataka watanzania kutambua kuwa ukeketaji kwa mwnamke ni hatali huatarisha maisha ya mwanamke.

Kumaliza ukeketaji pekee haitoshi, bali tunatakiwa pia kuelimisha jamii ili kubadili Imani hizi ambazo hupelekea kufanyika kwa tendo hili la Kutisha. Mtoto wa kike hatakiwi kukeketwa kamwe jambohili linasababisha madhara makubwa kula mmoja ana jukumu la kumulinda mtoto asifanyiwe kitendo hiki cha ukatili ambacho niukiukwaji wa kibinadamu.

Post a Comment

0 Comments