Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

somo la sitadi za kazi nimuhimu sasa kutilia maanani mashuleni.

 
Baadhi ya Wazazi nchini Rwanda wanakutana katika Vyumba vya Nyenzo-rejea katika shule zao za mitaa ili kujenga vifaa vya kuchezea na kujifunza kama mipira, michoro na vitu vingine vya kuona.
 Hizi ni Rasilimali nzurikwaajili ya kufundishia watoto pia ni muhimu kwa kuimarisha kujifunzia na husaidia wazazi kukaa kushiriki UNICEF Rwanda imesema.

Post a Comment

0 Comments