theluthi ya watoto waliozaliwa na uzito wa chini hufariki ndani ya masaa 12.Kwa mujibu wa shirika la Afya duniani WHO limesema, theluthi ya watoto waliozaliwa na uzito wa chini hufariki ndani ya masaa 12 ya kwanza.
 Aidha shirika hilo limesema hii husababishwa na  Ukosefu wa huduma bora zinazotolewa na vituo vingi vya afya maeneo mbalimbali nchini Tanzania.

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK