Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Ugonjwa wa kipindupindu wazidikuuwa watu yemeni.Ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemera kunauwezekano wa kuimarisha miezi ijayo kama waakaazi wa eneo hilo wakizingatia kanuni na talatibu za afya.
 Shirika la Afya Duniani       WHO nchini humo  lilionya siku ya Jumatatu kuwa janga la kipindupindu huko Yemen lililouawa zaidi ya watu 2,000 linaweza kuongezeka tena wakati wa mvua.
Post a Comment

0 Comments