unicef tanzania yatoa takwimu ya upungufu wa madaktari kuhudumia wagonjwa wengi.UNICEF  Tanzania imesema bado kwenye maeneo mengi nchini Tanzania tatizo la wagonjwa wengi kwa madaktari wachache halijapatiwa ufumbuzi jambo linalo sababisha vifo vingi kwa taifa . Wahudumu wane (04) wa afya wanahudumia Zaidi ya watu 10,000 |

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK