Unicef tanzania yatoa wito kwakila mzazi na mlezi kumlinda mtoto.


UNICEF TANZANIA imesema, Kila uzao wa mtoto ni wa kipekee, iwe kwa mzazi ama kwa familia nzima. Je, unafanya kazi vya kutosha kuhakikisha watoto  wanastawi na kuishi salama? Mlinde vyema mtoto kwa kumpatia mahitaji ya msingi ikiwemo mikono sala.

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK