Unicef ya toa takwimu ya watoto wanao ingia mtandaoni kila sekunde 2.

  Watoto zaidi ya 176,000 huenda mtandaoni kwa mara ya kwanza kila siku - karibu mtoto mpya kila sekunde 2. Ni ushauri gani unaowapa watoto & vijana kutumia mtandao leo? Wafundishe kutambua madhara ya mtandao kwadunia ya utandawazi. 

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK