Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Unicef ya washukuru wote walio shiriki kutoa msaada kwa wahitaji wa shuleni.  Siokwamba hali ngumu ya maisha ni bara la afrika tu , hata nje ya nchi halihii inapatina ambapo shirika la Kuhudumia Watoto duniani UNICEF linafanya kazi kote .
   Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Fasi wanafurahi sana na hatimaye kurudi shuleni leo. UNICEF inajivunia kuunga mkono Serikali ya Tonga huko Pasific kusaidia watoto kurudi kwenye mafunzo yao. Shukrani kwa kila mtu aliyefanya hivyo iwezekanavyo!
 Nawanao enderea kufanya hivyo ulimwenguni kote.

Post a Comment

0 Comments