Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

wana wake wajawazito 3 kati ya 10 ndio wanajifungulia kwenye vituo vya afya.  Mariam aliamua kumpa mtoto Abdi mwanzo huduma bora  kutoa hospitali huko Galkayo nchini Somalia, Na wanawake 3 kati ya 10  nchini Somalia ndio wanaojifungua katika vituo vya afya ambapo 7 walio baki hawafiki kwenye vituo hivyo, UNICEF AFRIKA imesema.

Post a Comment

0 Comments