Watoto 400,000 wakohatalini kufariki kwa tatizo la njaa nchin DRC.


Watoto 400,000 wana hatari ya kufa katika Mkoa wa Kasai wa DRC isipokuwa isipokuwa fedha za haraka kwatatizo la njaa. Zaidi ya hapo unatakiwa msaada wa halaka zaidi ili kunusulu watoto nchini humo.
 

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK