Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

WATOTO 87 KATI YA 300 WAMEACHILIA HULU SUDANI KUSINI.

Shirika la kuhudumia Watoto Duniani UNICEF SUDANI limesema leo kwamara ya kwanza Watoto 87 ya wasicha kati ya 300 wameachiliwa hulu kutoka kwenye vikosi vya siraha huko SUDANI KUSINI. Shirika hilo limeabainisha kwamba Watoto hao walikamatwa zaidi ya mwaka mmoja sasa leo hii baadhi kati yao ndio walio achiliwa hulu. 

Post a Comment

0 Comments