Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Watoto walio achiliwa hulu SUDANI KUSINI kutoka kwenye vikosi vya wapiganaji sasa wafundishwa ujasiriamali.
Kesho nisiku nyingine tena yenye matumaini ya kuwa na habari njema kwa watoto 19,000.
 Kwenye vikundi vya silaha nchini Sudankusin huenda watoto wengine tena wakaachiliwa hulu kuludi ulaiyani.
 Kwa hiyo watoto walioachiliwa wana na wakati ujao wa uhakikatena wakupambana na maisha yao na taifakwaujumla, UNICEF & washirika wengine hutoa elimu na huduma za ufundi kusaidia watoto walio achiliwa ili kuwarudisha tena kwenye mfumo wa maisha ya ulaiyani ikiwemo ushauli na saha UNICEF SUDANI KUSINI imesema.

Post a Comment

0 Comments