Watoto wote wanataka amani duniani kote.Watoto wote wanataka amani.
UNICEF AFRICA imesema   Watoto zaidi ya 800,000 wamehamishwa na vurugu zinazo enderea  katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ilikuwatafutia amani na huluzaidi na uhakika wamaisha yao ,ikiwemo kutimiza ndoto zao kupitia elimu. 

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK