Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Zaidi ya watoto billioni 1 duniani kote hufanyiwa ukatili kilamwaka.


Shirika la Afya Duniani (who) limesema kua, Mtoto Mmoja kati ya watoto wawili ulimwenguni kote inaonyesha ana mateso ya kimwili, kijinsia na kihisia    huu niutafiti ulio fanywa na shirika hilo kwamwaka uliopita. 
Vurugu dhidi ya watoto nilazima iachwe sasa baina ya wazazi au walezi wanao wahudumia kwenye familia.

Post a Comment

0 Comments