Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Arfabeti za alama zimekua msaada mkubwa kwa mtoto na mtoto.




 Somo la arfabet nimuhimu sana kwa watoto walio na matatizo ya kuongea ,jambo hili nijema tu pale kila mtoto akifundishwa ili aweze kuwa saidia hata watoto wenzake walio na tatizo hilo kitu kitakacho wasaidia kuondoa ubaguzi kwao.
  Jambo hili huleta tija kwa jamii na mahusiano mazuli, kiujumla wakati wakucheza nyumbani na mashuleni baina ya watoto.

Post a Comment

0 Comments