Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Cdf Tanzania ya washauli wazazi kuwasikiliza watoto wao ilikujua nini wanakifilia juu ya maisha yao.


  Mtoto ana haki ya kusikilizwa, kuna wazazi ambao hawana muda wa kusikiliza Watoto wao kwa sababu ya kuwa busy, Halihii husababisha kuto hemheshimu baba au kumuogopa kupita kiasi pale anapo ludi nyumbani kutoka safarini.
  Hatavyo hatakama anajambo lakukueleza lililo zuli au kuhitaji ushauri kutoka kwako hataweza kukwambia kwani hauna mda wakumsikiliza na kumuuliza nini anakihitaji nanini anakifikilia , kitakacho tokea nikuamua chochote atakacho kiona kinamfaa kuafanya kwake nisahii. Tembelea @FORWARDUK @UNICEFTanzania @Sida @amplifyfund @Pedro_Unicef ​​@HanneMKaarstad @DocFaustine @GirlsNotBrides @FCSTZ

Post a Comment

0 Comments