Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Changamoto juu ya walemavu wa ngozi tanzanai.


 Utafiti uliofanywa na Shirika la HakiElimu (2017) umebaini changamoto 8 zinazowakabili wanafunzi wenye changamoto za uoni wanaosoma katika shule jumuishi moja ya changamoto hizo ni; Upungufu wa walimu wenye ujuzi wa kufundisha watoto wenye changamoto za uoni. Hayo yamezungumzwa na hakielimu Tanzania #ElimuJumuishi

Post a Comment

0 Comments