Karibu watu milioni 466 duniani kote wamepoteza usiku wao mzuri, Milioni 34 kati yao ni watotoKaribu watu milioni 466 duniani kote wamepoteza usiku wao mzuri. Milioni 34 kati yao ni watoto,Je, Mtoto wako anaweza kuwa na upungufu wa kusikia ,  usijue kile unachosema vizuri na  kuchelewa kusikia au kutoelewa hotuba mnayo zungumzia .
   Hili jambo husababisha matukio ya mara kwa mara ya maumivu au kuzuia maendeleo mbalimbali ya famlia na jamii kwa ujumla fika kwenye vituo vya afya mapema ilikupata ufumbuzi wa tatizo hili kabla halijawa kubwa.Shirika la Afya Duniani  (WHO) Limesema. 

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK