Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Maoni ya wanafunzi juu ya maazimisho ya siku ya wanawake duniani.       08 FEBR 2018  WATOTO MOROGORO
  Wasichana washule ya msingi kiwanja cha ndege   iliopo manispaa ya morogoro wazungumzia juu ya umuhimu wa elimu kwa mwana mke katika jamii.
   Maoni hayo wamyatoa wakati wakumaliza vipindi vya jioni shuleni hapo, Rauletia Saimoni na Khadija Ramadhani wao wanasoma darasa la saba shuleni hapo wamesema elimu nimuhimu kwa mwanamke kwasababu inamuongezea maarifa zaidi.
    Aidha Mwl. Misonjo amesema siku ya wanawake duniani nijambo muhimu lakukumbukwa siku zote, kwani ndipo wasichana hupata fursa ya  kujifunza elimu mbalimbali ikiwemo haki yamwana mke, namna ya kuongeza kipato kwenye familia na jinsi ya kuudumia jamii yake.

Post a Comment

0 Comments