Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Matokeo mazuri niyathamani kubwa kwenye mpango wa kuokoa vifo vya mama na mtoto UNICEF KENYA IMESEMA.40% ya vifo hivi vinaweza kuzuiwa kupitia njia rahisi za afya kupitia vituo vya afya  vya umma na visivyo vya umma ambavyo hutoa huduma nafuu kama sehemu ya wajibu wao kwa jamii. Hii haina gharama kubwa ya kuokoa maisha ya watoto, Lakini matokeo mazuri ni ya thamani sana kwenye mpango huu wa kuokoa mama na mtoto UNICEF Kenya imesema.

Post a Comment

0 Comments