Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF amehitimisha ziara yake huko Sudan Kusini.

   Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF amehitimisha ziara yake huko Sudan Kusini ambako licha ya kushuhudia madhila yanayokumba watoto ikiwemo utapiamlo uliokithiri , ameleta faraja kwa familia zilizokuwa zimetengana na watoto watoto wao.
   Nchini Sudan Kusini, katika moja ya miradi ya maji ya mto Nile, Henriette H. Fore, Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF akiwasili na kulakiwa kukagua mradi wa maji yanayotumiwa na wakimbizi wa ndani…
   Mkurugenzi huyo wa UNICEF, Foreamepata nafasi  yakusikiliza simulizi kutoka kwafanyakazi wa UNICEF katika hospitalini nchini Sudan Kusini.
Alipotoka hapo alitembelea hospitali ya watoto ya Al Sabbah mjini Juba akashuhudia watoto waliokabiliwa na utapiamlo uliokithiri, wakipatiwa tiba kwa njia ya mpira,Alielezwa na wauguzi jinsi wanavyokuwa na mtihani kwani watoto wagonjwa ni wengi lakini nafasi ya matibabu ni ndogo. Tembelea www.news.un.org

 

Post a Comment

0 Comments