Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Mtoto ana haki ya kuishi, kuendelezwa, kulindwa na kushirikishwa.


"Mtoto ana haki ya kuishi, kuendelezwa, kulindwa na kushirikishwa" haya ni baadhi ya mafunzo waliyojifunza wanafunzi wa klabu ya CDF shule ya Sekondari Kitunda jijini Dar es salaam haya yote yanaweza kutekelezwa kwa ushrikiano wa wazazi na walezi wafamilia.
 Upendo unaanzia ndani ya moyo wamtu ukiwa na upendo utawapenda hata watoto wote na utawapatia nafasi ya fursa , na mda wakujiendeleza kielim ilikupata maarifa zaidi. Tembelea CDF Tanzania.

Post a Comment

0 Comments