Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Mtoto huleta furaha ndani ya familia na taifa husika.                     12 Machi 2018
    Watoto ni faida za kwanza kwenye familia mpya mara baada ya kuoa aau kuolewa kwani kwakumuona mtoto furaha huongezeka zaidi, Hivi ndivyo ilivyo kwenye nchi zilizo naamani duniani  ndio maana Mashrika ya umoja wa mataifa, ya Serikali na yasio ya kiserikali yana sisitiza kumaliza migogoro ya vita kwenye nchi zao ilikufaidi matunda hayo.
   Nchi za Afrika zilizo katika machafuko na vita vya wenyewe kwa wenyewe zimeshauriwa kufuata nyazo za Liberia ambayo baada ya miongo ya vita na madhila ya hali ya juu sasa inajivunia matunda ya amani.  Nikwa msaada wa  www.news.un.org

Post a Comment

0 Comments