Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF Tanzania lapinga ukatili dhidi ya wasichana Tarime mkoani mara.


   Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF Tanzania likitoa Elimu ya
kupinga Ukatili wa kijinsia ukiwemo Ukeketaji kwa watoto wa kike katika
Shule ya Msingi Kiongera na Umoja Wilayani Tarime Mkoani Mara, Shirika
hilo limekuwa likitoa Elimu hiyo kwa jamii ili kubadili Mitazamo hasi
ambapo Wanafunzi hao wamepatiwa Elimu kupitia Michezo, na kisha kufikia
wananchi katika soko la Songa, kwa kuwatumia Mabinti ambao wamepatiwa
Elimu na sasa wamekuwa Mabalozi katika Kata mbalimbali lengo ni kunusuru
Mtoto wa kike asikeketwe

Post a Comment

0 Comments