Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Shirika la kuhudumia Watoto Duniani UNICEF KENYA limetoa takwimu ya vifo vinavyo tokea Kila mwaka nchini humo. Shirika la kuhudumia Watoto Duniani UNICEF KENYA limetoa takwimu ya vifo vinavyo tokea  Kila mwaka, watoto zaidi ya 34,000 nchini Kenya hufariki ndani ya siku 28 za kwanza za kuzaliwa kila mmoja anawajibu wa kuzuia vifo hivi kila mwaka kwa kujikinga na magonjwa yanayo weza kuzuilika. 

Post a Comment

0 Comments