Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Shiriki ili kutimiza ndoto za umoja wa mataifa juu ya elimu kwa watoto.
     Malengo ya Maendeleo ya kudumu.
  Dunia inamalengo na ilikuya fikia malengo hayo nilazima iwepo mikakati ya kuyakamilisha , miongoni mwa mwalengo hayo ni swala la Elimu kwa watoto hasa kwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la sahara ,
Nahili ni Lengo la 4: Nikuhakikisha elimu ya ubora na usawa na kukuza fursa zote za kujifunza kwa wote
  Uandikishaji wa watoto kwa elimu ya msingi katika nchi zinazoendelea umefikia asilimia 91, lakini watoto milioni 57 bado hawana nafasi shuleni.
    Zaidi ya nusu ya watoto ambao hawajasajiliwa shuleni wanaishi bara la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara.
    Inakadiriwa asilimia 50 ya watoto wasio na umri wa kuanza shule ya msingi wanaishi katika maeneo yaliyoathiriwa na migogoro.
    Watoto katika kaya masikini ni mara 4 kama uwezekano wa kuwa shuleni kama watoto katika kaya tajiri. www.tz.undp.org  

Post a Comment

0 Comments