Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Ubongo wa mtoto hukua kwa kiwango cha 80% katika kipindi cha ujauzito wa mama hadi umli wa miaka 3.  Ukuaji wa ubongo wa mtoto unaanza tangu mimba inapotunga. Imedhihirika kitaalamu kuwa ubongo wa mtoto hukua kwa kiwango cha 80% katika kipindi cha ujauzito hadi miaka 3 ya mwanzo ya maisha yake. Kuna uhusiano mkubwa kati ya afya ya mjamzito na ukuaji wa ubongo na akili ya mtoto. Maendeleo ya ubongo wa watoto yapo mikononi mwa wazazi ingawa majirani na ndugu wengine huchangia sana katika maendeleo ya ubongo wa mtoto.

Post a Comment

0 Comments