Unicef tanzania ya shauri juu ya malezi ya watoto.


Shirika la kuhudumia watoto duniani  UNICEF Tanzania limewashauli wazazi na walezi namna yakulea watoto kwa kuzingatia kanuni za vyakula ili kuijenga afya ya mtoto, Shirika hilo limesema kwamba mama anatakiwakuanza kula chakula cha ziada wakati mtoto wako atakapomaliza miezi 6, na kuendelea kunyonyesha hadi miezi 24.

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK