Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Unicef tanzania yawataka viongozi wa dini kutimiza kanuni zinazo wahusu watoto.
Viongozi wa imani wana jukumu muhimu katika kubadilisha na kushughulikia kanuni za kijamii zinazoathiri ustawi wa watoto. UNICEF TZ Rep, Hayo yamezungumzwa na  Rene Van Dongen, akizungumza juu ya ahadi ya UNICEF ya kufanya kazi na viongozi kutoka kwa imani zote, wakati wa mkutano ulioandaliwa na WCC huko Arusha.

Post a Comment

0 Comments