Utumiaji wa glukosi kwa mtoto chini ya umli wa miaka 5.Watafiti wa Chuo Kikuu cha Northwestern wanadai  kuwa mtoto wa miaka 5 anatumia glukosi katika ubongo wake mara mbili zaidi ya mtu mzima hivyo kufanya ukuaji wa mwili kuwa mdogo. Katika umri wa miaka 5 mtoto hujifunza mengi kitu kinachofanya ubongo kuhitaji nguvu nyingi.

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK