Vija wa kike nchini kenya watoa mawazo yao juu ya siku ya wanawanke duniani.
Wiki hii niwiki
ya wana wake duniani ambayo huwazimishwa kila ifikapo tarehe 08/03/2018 wanapenda kukutana
vijana wakike na dadazao ilikubadilishana mawazo yao UNICEFKenya wana kitu cha kusisimua kilichopangwa
kwa Siku ya Wanawake ya Kimataifa.
Mawazo ya wasichana wengi hupenda kujifunza
mambo ya husuyo mahusiano ya ndoa pia kwasasa nilazima wasikie mawazo ya
ujasiriamali ambao unaweza kuwainua kiuchumi.
0 comments:
Post a Comment