Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Viongozi wa dini wakiwasimamia na kuwafundisha watoto wadogo utakua msingi bora wamaishayao.


Watoto wanatakiwa kufundishwa au kulelewa malezi bora ya imani ya kumjua mungu ili kumsadia kutambua mambo mema na mabaya katika makuzi yake ambayo husaidia kuishi vema katika jamii inayo mzunguka na familia kiujumla.
  Wakizungumza na Tanzania kidstime Mchungaji wa Kanisa la Victory Pendecost lilipo Halmashauri ya Mji wa Ifakara mkoani morogoro Potas Mpyiki amesema watoto wanatabia ya kuiga au kujifunza mambo mengi wanapokuwa wadogo hivyo ni vema wakalelewa kwa maadili mema na wanapokuwa katika makuzi yao maana hawataiacha njiahiyo hadi watakapokuwa wazee.
   Hatahivyo amesema watoto wanapaswa kuikwaimani tangu wadogo ilikujenga tabia na yenye maadilikwa jamii inayo wazungunga,jambo hilo likifanywa kwa usahihi nahofu ya mungu hata ukatili hautakuwepo kwanye jamii.
  Aidha Mpyiki amewaomba wazazi na walezi kuwapeleka katika mahali pa kujifunza imani mara tu wanapofika umri wa kujitambua kiakili .

Post a Comment

0 Comments