Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Wakimbizi nchini Uganda waandikishwahasa Watoto na vijana.   Sadam Mandu Mwanachama wa Taifa wa EPR akitoa majibu ya dharura katika Halmashsuri ya Jiji la Kanara, Wilaya ya Ntoroko, Nchini Uganda, amesema kuwa Tunafanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha Wakimbizi  wote  wameandikishwa katika nchi hii kwa usahihi, hasa Vijana wenye umri mdogo UNICEF Uganda imesema.


Post a Comment

0 Comments