Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Wanafunzi wa shule ya sekondari Uwanja wa taifa watoa maoni yao juu ya siku ya mwanamke duniani.

   Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Uwanja wa Taifa iliopo ndani halimashau ya Morogoro, wametoa maoni yao juu ya Maadhimisho ya mwanamke duniani ambayo hufanyika kila mwaka March 08 amba kwamkoa wa morogoro yataadhimishwandani ya manispaa ya morogoro
  Tanzaniakidstime ilifanikiwa kufanya nao mjadara juu ya changamoto wanazo kumbana nazo wasichana wakiwa bado wanafunzi, na kutoa maoni yao juu ya binti kuto baguliwa kwenye ngazi mbalimbali za kazi, Fursa za kiuchumi, Elimu ya Utu wamwanamke na elimu ya kujikinga na mimba za Utotoni, Huku Martin Leonard akiishauli jamii kubadilisha mitazamo juu ya binti waendelee kuwasaidia kuwapa elimu na madhara ya mimba za utotoni.
   Hata hivyo Diana Elia yeye nimwana funzi wakidato cha nne katika shule hiyo amesema nilazima atimize ndoto zake alizo nazo ilikuisaidia familia yake, Jamii, na Taifa kwaujumla, akiwa msaada kwa wana funzi wenzake alio nao Darasa moja na walio madarasa ya chini yake kwakujifunza pamoja nakupeana ushauli wakimasomo.
  Aidha mkuu washule hiyo Mwl.Mohamed Song'oro amesema wanajitahidi kuwasaidia wasichana shuleni hapo kuwaonyesha madhara ya mimba za utotoni, namna atakavyo athilika nakukatishwa ndoto zake alizo zikusudia, Hivyo nilazima binti na mvulana wafahamu kwamba nijambo baya kumkatisha mwenzake masomo kwasababu ya mahusiano ya kimapenzi, anae bainika kufanya hivyo nikifungo cha miaka 30 jera.

Post a Comment

0 Comments