Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Wasicha wa sekondary mkoani dodoma wa ahidi kutimiza ndoto zao.
     Wasichana wadogo katika Shule ya Sekondari ya Dodoma, Tanzania wamesema wanaweza kufikia chochote wanachotaka. Hata kama watu wazima wengine wanasema wanapaswa kuwa wajakazi tu. Wanatamani kuwa wanasheria wa haki za binadamu, mwanasaikolojia, mhandisi wa mitambo, daktari.
  Hakuna mipaka ya kuwazuia sehemu yeyote kwenye kutimiza ndoto zao za maisha kwaajili ya faida ya taifa lao, Familia zao na jamii kwa ujumla.
 Hata hivyo wazazi na walezi wametakiwa kuwa tia moyo kwenye safari yao ya masom ilikutimiza ndoto zao maishani.


Post a Comment

0 Comments