Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Watoto nchini Syria hawana haki kama wengine kwenye nchi zingine duniani.

Watoto wa Syria hawana haki kama wengine?

Picha: UM/Jean-Marc Ferré

  Watoto Syria wakisimama katika hema katika makazi yao kwenye kambi ya wakimbizi wa ndani, Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na kikao mahsusi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu hususan watoto nchini Syria. 
   Akihutubia kikao hicho mjini Geneva, Uswisi, mratibu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya kibinadamu nchini Syria Panos Moumtzis amesema kutwa kucha watoto wa Syria hususan eneo la Ghouta Mashariki sasa wanakabiliwa na mmiminiko wa makombora.
  Amesema baada ya miaka mitano ya kuishi kwenye eneo lililozingirwa, sasa wanaishi kwenye mahandaki yaliyojaa kupindukia bila kufahamu kesho yao itakuwa vipi.Tembelea https://news.un.org/swa.

Post a Comment

0 Comments